"Niligundua uvimbe usio na maumivu kwenye shingo yangu ambao ulikataa kuondoka," mama huyo wa watoto wawili ameiambia BBC.
Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, kumekuwa na ongezeko kubwa na la kasi la saratani ya koo katika nchi za magharibi, kiasi kwamba wengine wameliita janga. Hii imetokana na ongezeko kubwa ...