Mihic alifanya kazi kwa muda mfupi kama msaidizi wa kocha katika klabu ya Al-Samiya Sporting Club ya Kuwait, bingwa wa Ligi ...
"Tamasha letu mwaka huu lina mwamko mkubwa, tumeanza kupokea wadau kutoka ndani na nje ya nchi ambao wanakuja kwa ajili ya ...
KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye ...
Aliyekuwa kocha wa Singida BS, Hamdi Miloud awasili jijini Dar es Salaam leo asubuhi akiwa na msaidizi wake tayari kwa ...
Ripoti ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imeiorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zilizovuna pesa kutokana na mauzo ya ...
KAMA ulizaliwa Februari 5, unacheza soka na huna maajabu, basi achana na boli, kwani hiyo itakuwa kazi isiyokuhusu.
Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan ...
Bao la dakika za jioni la Jentrix Shikangwa dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye Uwanja wa KMC Complex jana lilitosha kuipa Simba ...
MISIMU miwili iliyopita, mashabiki wa Yanga walidhani ni ndoto kuuzwa kwa mshambuliaji Fiston Mayele. Lakini Pyramids ...
MSHAMBULIAJI wa Simba, Leonel Ateba Mbida anaendelea kuonyesha kiwango bora hadi sasa katika michezo ya Ligi Kuu Bara na timu ...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (Caf) limetangaza tarehe ya droo ya robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa na Kombe la ...
Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida ...