Picha na Juma Mtanda. Morogoro. Zaidi ya koo 45 za kabila la Waluguru zimefanya tambiko la tano la kudumisha amani na umoja katika jamii, kutoa elimu ya ulinzi na uhifadhi wa mazingira na kupambana na ...
Kwa hali ilivyo sasa, dini si kigezo cha kuwagawa Watanzania kwa kuwa Waislamu na Wakristo wana historia ndefu iliyoota mizizi kwa kuwa wameoleana au hata katika baadhi ya koo, kuna watu wa imani zote ...
Aidha, alisema ni vyema jamii ikaepuka matumizi ya mirungi kwani husababisha saratani ya utumbo, ya koo na meno kung’ooka. Katika hatua nyingine, Lyimo alisema serikali kwa kushirikiana na wadau wa ...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka RFI, jeshi la Mali na kundi la wanamgambo wa Urusi Wagner kwa mara nyingine tena walitekeleza mfululizo wa mauaji ya kikatili siku ya Jumanne tarehe 21 na Jumatano Januari ...