LICHA ya kuondoka kwa kocha Sead Ramovic, moto wa Yanga katika Ligi Kuu Bara haujapoa baada ya jioni ya leo kuinyoosha bila huruma KenGold iliyofanya usajili wa maana kupitia dirisha dogo kwa kuifumua ...
Rashford amefunga mabao 12 na kuasisti mara tatu katika mechi 33 alizochezea Man United kwenye michuano ya Ulaya. Na sasa huko Villa Park, Rashford atakwenda kuungana na Marco Asensio, ...
KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye mbioni kujiunga na CR Belouizdad ya Algeria atavuta mshahara wa kibosi ...
Katika maadhimisho hayo, yaliyopewa jina la Jide Silver, mwimbaji huyo ataanza kwa kuijengea jamii ufahamu juu ya ugonjwa wa saratani akishirikiana na Hospitali ya Ocean Road, siku ya Juni 9.